MBE house cleaning
Kwa usafi wa nyumba,chumba,office, viviwanda nk Huduma zetu zina patikana kwa gharama fuu zaidi
Jumanne, 28 Juni 2016
Jumamosi, 30 Aprili 2016
ijue thamani ya nyumba yako
Nyumba safi
Nime weza kutembelea nyumba nyingi hapa jijini Dar ila ni nyumba chache zinazo zingatia usafi kwa kiwango kinacho hitajika na wingi wa nyumba hizI zisizo zingatia ubora wa usafi wamejikuta wakilaumu ima vifaa wanavyo tumia kusafishia hata madawa wanayo tumia kumbe walipaswa kuzingatia hitaji la madawa husika kwa matumizi husika
Tupo kwaajili yako kuhakikisha tunatunatunza thamani ya pesa zako
Ijumaa, 4 Machi 2016
TUNZA MAZINGIRA
NILIPI LENGO NDANI YA TANZANIA
Niki tazama nijinsi gani jamii ikishindwa kupata jibu na maamuzi juu ya afya za watoto
hata kwa wakubwa pia kwani bila ya kujiuliza halita wezekana kulipata jibu.
tuna waona watoto wakicheza na kutafuta mahitaji ndani ya mazingira hatarishi ndani ya nchi,mkoa,wilaya hata mazingira tunayo ishi kwakukosa ufahamu,umakini hata kwaufinyu wa upatikanaji wa mahitaji yao
Jumanne, 5 Mei 2015
nafasi za kazi MBE House Clean
Maharuki Business Enterprises
ninafasi yako kijana waki tanzania kupitia MBE House Clean kwa wale waliyo pitia vyuo mbali mbali hapa nchini vinavyo jihusisha na usafi majumbani, makazini, viwandani hapa kwa wale wenye fani ya utunzaji mauwa na uzalishaji mauwa ninafasi yako kwa maelezo na utumaji maombi tufuate
MAHARUKI BUSINESS ENTERPRISES
P.o Box
Dar Es Salaam
Tanzania
TEL:+255 717 010 028
+255 777 010 028
+255 767 013 028
Fb: maharuki mbehouse
E mail: maharuki.b.e@gmail.com
Blog: www.maharuki.blogspot.com
Jumatano, 29 Aprili 2015
clean carpet mbe house clean
kwa usafishaji wa nyumba na mazulia bila kuhofia ghalama kwani nibei nafuu zaidi utaifanya nyumba yako zulia lako kukupa umaridadi
tupate kwa
0717 010 028
0777 010 028
0767 013 028
Email: maharuki.b.e@gmail.com
Jumatatu, 20 Aprili 2015
TUNA SAFISHA MAJENGO YA AINAZOTE NA BUSTANI
MAHARUKI BUSINESS ENTERPRISES
Inakupa nafasi ya kuurudisha mng'aro wa nyuamba yako usipate tabu ukirudi kazini umechoka tutafute tuipendezeshe nyumba yako kwa usafi wa nyumba na bustani zamitindo tena na bei yetu ni nafuu
MAHARUKI BUSINESS ENTERPRISES
phone 0717 010 028
0777 010 028
0767 013 028
email maharuki.b.e@gmail.com
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)