Jumamosi, 30 Aprili 2016

ijue thamani ya nyumba yako


Nyumba safi


Nime weza kutembelea nyumba nyingi hapa jijini Dar ila ni nyumba chache zinazo zingatia usafi kwa kiwango kinacho hitajika na wingi wa nyumba hizI zisizo zingatia ubora wa usafi wamejikuta wakilaumu ima vifaa wanavyo tumia kusafishia hata madawa wanayo tumia kumbe walipaswa kuzingatia hitaji la madawa husika kwa matumizi husika

Tupo kwaajili yako kuhakikisha tunatunatunza thamani ya pesa zako

Ijumaa, 4 Machi 2016

TUNZA MAZINGIRA


NILIPI LENGO NDANI YA TANZANIA

Niki tazama nijinsi gani jamii ikishindwa kupata jibu na maamuzi juu ya afya za watoto 
hata kwa wakubwa pia kwani bila ya kujiuliza halita wezekana kulipata jibu.
tuna waona watoto wakicheza na kutafuta mahitaji ndani ya mazingira hatarishi ndani ya nchi,mkoa,wilaya hata mazingira tunayo ishi kwakukosa ufahamu,umakini hata kwaufinyu wa upatikanaji wa mahitaji yao 



Jumanne, 5 Mei 2015

nafasi za kazi MBE House Clean


                                                          Maharuki Business Enterprises
ninafasi yako kijana waki tanzania kupitia MBE House Clean kwa wale waliyo pitia vyuo mbali mbali hapa nchini vinavyo jihusisha na usafi majumbani, makazini, viwandani hapa kwa wale wenye fani ya utunzaji mauwa na uzalishaji mauwa ninafasi yako kwa maelezo na utumaji maombi tufuate

MAHARUKI BUSINESS ENTERPRISES
P.o Box 
Dar Es Salaam
Tanzania

TEL:+255 717 010 028
       +255 777 010 028
       +255 767 013 028
Fb: maharuki mbehouse
E mail: maharuki.b.e@gmail.com 
Blog: www.maharuki.blogspot.com

Jumatano, 29 Aprili 2015

clean carpet mbe house clean



kwa usafishaji wa nyumba na mazulia bila kuhofia ghalama kwani nibei nafuu zaidi utaifanya nyumba yako zulia lako kukupa umaridadi

tupate kwa
0717 010 028
0777 010 028
0767 013 028
Email: maharuki.b.e@gmail.com

Jumatatu, 20 Aprili 2015

TUNA SAFISHA MAJENGO YA AINAZOTE NA BUSTANI



                                       MAHARUKI BUSINESS ENTERPRISES
Inakupa nafasi ya kuurudisha mng'aro wa nyuamba yako usipate tabu ukirudi kazini umechoka tutafute tuipendezeshe nyumba yako kwa usafi wa nyumba na bustani zamitindo tena na bei yetu ni nafuu

MAHARUKI BUSINESS ENTERPRISES
phone  0717 010 028
            0777 010 028
            0767 013 028
email maharuki.b.e@gmail.com